Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
NEW APARTMENTS ZA KISASA INAPANGISHWA 150K X6
ILIPWE LAKI MOJA NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HII IPO UBUNGO RIVERSIDE MAKOKA USAFIRI BAJAJI DALADALA NA UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NYUMBA HAIPO KWENYE FENCE LAKINI MAZINGIRA MAZURI NA SALAMA WA KUTOSHA
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
N.B NYUMBA HII ITAKUWA TAYARI KUINGIA KUANZIA TAREHE 20.02.2025
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027