Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata Kinyerezi Kibaga Zabika, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
2
Bafu
2
Huduma na Sifa
Maelezo
Stand alone) Hii apartment inayojitegemea yenyewe ndani ya fence inapangishwa bei 400000 kwa mwezi kodi kianzia miezi 6, ina vyumba 2 vya kulala chumba kimojawapo self contained, sebule kubwa, jiko kubwa, public toilet, pia chumba kimojawapo ina kabati la kuekea nguo, electric fence, peving block, maji ni masaa 24, Location tabata kinyerezi kibaga zabika dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 20000
Au malipo ya dalali endapo ulipapo apartment hii




















