Nyumba/Apartment (Furnished) ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


FULL FURNISHED APARTMENT FOR RENT;
💧Location :: GOBA MAGETI - KARIBU NA BARABARA
💧Bei :: Tsh. 2,000,000 kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Vyote Master)
📍Makabati Vyumba vyote
📍Sebule kubwa
📍Dinning
📍Choo cha Public
📍Jiko lenye makabati
📍Motor Gate
📍Fully Airconditioned (Vyumbani & Sebuleni)
📍Washing Machines
📍CCTV Camera
Nipigie/WhatsApp - 0715384892