Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







🏠 NYUMBA INAPANGISHWA - BUNJU B 📍
Nyumba safi na ya kisasa inapangishwa Bunju B:
🛏️ Vyumba 2 vya kulala (1 ni Master)
🛋️ Sebule kubwa yenye nafasi
🍽️ Jiko la kisasa
🚽 Choo cha Public
⚡ Umeme unajitegemea
💧 Maji yanajitegemea
🚗 Parking ya kutosha
💵 Kodi: TSH 300,000/= × 6 Miezi
🛠️ Service Charge: 20,000/=
📞 Call/WhatsApp: 0687800788/0713958395