Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam





π APARTMENT YA VYUMBA 2 β IMEBAKI 1 TU! π
(Zipo 4 awali, sasa imebaki moja)
π Eneo: Bunju B
π Muundo wa Nyumba:
β’ ποΈ Vyumba 2 vya kulala
β’ ποΈ Sebule
β’ π³ Jiko
β’ π½ Choo cha public
β’ π§ Maji DAWASCO (unajitegemea)
β’ β‘ Umeme LUKU (unajitegemea)
π° Kodi: TSh 300,000/= / mwezi
π Malipo: Kuanzia miezi 6
π§Ύ Service Charge: TSh 20,000/=
πΆ Free WiFi β Unlimited
π Wasiliana: piga simu O745010009 au 0742707023



















