Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Buswelu, Mwanza







BUSWELU MWANZA NYUMBA INAPANGISHWA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA ((SELF 1))
SEBURE
JIKO
CAR PARKING
BEI MIL 3.8 KWA MWAKA
MALIPO MIEZI 6
0767241001
NB
PIA KUNA NYINGINE YA VYUMBA VIWILI BEI MIL 3 KWA MWAKA , MIEZI 6 RUKSA IPO BUSWELU PEMBENI YA RAMI