Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Buswelu, Mwanza


NYUMBA MPYA ZINAPANGISHWA BUSWELU
-ina vyumba viwili vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, jiko, stoo na public toilet
-umeme na maji unajitegemea
-kodi Tsh 300,00 kwa mwezi
-malipo ni miezi 6
NB:-
Nyumba zote tatu (3) zipo wazi
☎️ 0743220097