Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


VYUMBA VIWILI KODI LAKI 500,000) TSH KWAMWEZI
MALIPO MIEZI 4 UNALIPA
——————————-
APARTMENTS NZULI SANA MPYA
ZINAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
ZIPO KWENYE FENCE
PAKING SPACE IPO KUBWA SANA
DATE LISTEED:15/09/2025
———————————————-
LOCATION GOBA MAGOROFANI
SIO MBALI TOKA LAMI
MITER 300 KUTOKA LAMI
PIA UGUSI VUMBI LAMI MPAKA GETINI
—————————
SURVEY CHARGE 20K ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA O677370515