Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISAAA INAPANGISHWAAA HIII SIYOOO YA KUACHA KABISAAA WATEJA ZANGUUU
ZIPO MBILI TUUU KWENYE COMPOUND MMOJA
LOCATION:GOBA ROAD NJIA PANDA YA MAKABE
BAJAJI:700
PIKIPIKI:1000
KODI YAKE:250,000=/. KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 4
SIFA YA NYUMBA
✅VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
✅SEBURE KUBWA
✅JIKO SAFIII
✅CHOOO CHA WAGENI
✅FENI
✅FENCE
✅PAVING BLOCK
✅UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
✅PARKI KUBWA
CONTACT
0782428327