Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


STANDALONE INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MADALE
💧Bei :: 400,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba viwili (Vyote Masta)
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko
📍Fence
📍Kufuga na Kulima inarushusiwa
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470
Call /Whatsapp