Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


🏘️ NYUMBA 3 ZINAUZWA – GOBA
📍 Eneo: Goba, Dar es Salaam
🛣️ Umbali: Mita 500 kutoka lami
💰 Bei ya jumla: Milioni 400 (maongezi yapo)
Zinajumuisha:
1. 🏠 Nyumba 2 za vyumba viwili kila moja
🛏️ Vyumba 2
🛋️ Sebule
🍽️ Jiko
🚽 Public toilet
💵 Kodi: 700,000 kila moja
2. 🏠 Nyumba 1 ya chumba kimoja (Master bedroom tu)
🛏️ Master bedroom
🚿 Bafu ndani
💵 Kodi: 300,000
🔢 Jumla ya kodi kwa mwezi: 1,700,000
Huduma:
🔌 Umeme wa LUKU
🚿 Maji ya bomba 24/7
🚗 Parking
🧱 Ndani ya fensi
Wasiliana:
dalalimbezibeach_goba_salasala
#0715127812call