Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisiwani
<> nyumba ina Vyumba viwili kimoja Master sebule dining na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba mpya kabisa
✅nyumba Ina mazingira safi
✅nyumba iko jirani na barabarani
✅nyumba nzuri na ya kisasa
<> asking price 500k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> Services Charge 20k
<> malipo kuanzia miezi miwili tu (2)
🔳mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837