Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kibada
<> nyumba Ina vyumba viwili vya kulala kimoja master sebule na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina parking
✅nyumba mpya kabisa
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba Ina mazingira mazuri
✅nyumba mpya nzuri na safi
<> asking price 450k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> service charge 20k
🔳Mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837