Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kibada
<> vyumba viwili kimoja master sebule na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba Ina parking
✅mazingira mazuri
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba mpya na safi
✅nyumba Ina ac
<> asking price 400k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> malipo miezi miwili tu (2)
<> service charge 20k
🔳Mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837