Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


๐ฉธVYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER SEBURE NA JIKO LAKE FULL MAKABATI KWA 350K
๐ฉธNYUMBA MPYA KABISA BOSS WANG NA IPO NDANI YA FENSI USALAMA WAKUTOSHA KABISA
๐ฉธNYUMBA IPO KIGAMBONI GEZA
๐ฉธKODI KUAZIA MIEZI 6 NAKUENDELEA BOSS WANG MTAA WA KISHUWA SAN
๐ฉธMALIPO YA DALALI 350K SERVICES 20K ๐ฑ 0750 886 103