Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kibada
<> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba mpya na safi
✅nyumba ina parking
✅nyumba ina mazingira safi
✅nyumba mpya na ya Kisasa
<> asking price 300k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> services charge 20k
🔳mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837