Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa inajitegemea sifa zake ni
Vyumba 2 vya kulala vyumba vyote ni master
Sebule kubwa
Jiko nzuri n k
Kodi laki 6 kwa mwezi
Ipo kigamboni mji mwema kibugumo tuwasiliane
๐โ 0746914709