Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam
*Note*10/01/2025
- Nyumba Mpya Inapangishwa
- Mahali Ilipo:Kijitonyama B.O.T Flats
- Ziko 6 Kwenye Compound(Zimebaki 3 Chumba Sebule Moja & Room 2 Changamka)
- Fenced
- Car Parking Space
- Paving Blocks
- Electrical Fence
▪️2 Bedrooms 1 Master
◾️Seating Room
🔳Kitchen
◾️Umeme & Maji Unajitegemea
◾️Price 800,000/=
◾️Term:7 Months
▪︎ Call/#0786801000
Sina Chain
Note:Leo Nimeanza Kuchukua hela za udalali kuingia na kulipa Mwenye Nyumba Rasmi Hata Sasa ila mkataba utaanza Tarehe 1/02/2025
Anatakiwa Mpangaji Bachelor Ila Mwenye Familia Ya Watoto Haruhusiwi(Air Bnb Ruhsa)