Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE FENSI ZIKO MBALI MBALI
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA 
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO ZURI KUBWA LENYE KABATI 
#DAING KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA 
#LICATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI 
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336




















