Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO(DSM)๐น๐ฟ
=======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET IPO NJE , MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI NA JIKONI
*ZIKO 2 KATIKA COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM.1 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO BUS TERMINAL
*KODI NI TZS 250,000/= MALIPO MIEZI X 4,5,6
________________________________________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=======================
*WSP:0785889413
*CALL:0785889413
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________