Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*NYUMBA IKO NDANI YA NUSU FENSI, PARKNG SPACE HAKUNA, INAJITEGEMEA YENYEWE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 200,000/= KWA MWEZI
______________________________
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI