Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
350,000 x6. 0759151524
STAND ALONE MPYAA MPYAA KABISA HII
INA PANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 350,000X6
UMBALI KM 1
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET YA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
UKILIPIA UNAINGIA BAADA YA SIKU 3 TU
MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA UMALIZIAJI
KWENDA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0679 956 863
0759151524