Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE INAPANGISHWA IPO MATOSA MWISHO WA BAJAJI,
USAFIRI WABAJAJI UNAPITIA TEMBONI AU KIMARA MWISHO, PIA KIMARA KUNA HIACE
UKISHUKA MATOSA MWISHO KUFIKA KWENYE NYUMBA BODA (1000) KUTEMBEA DK 15
NYUMBA INAVYUMBA VIWILI VYAKULA KIMOJA MASTAR INASEBULE NA DINING INA JIKO NA PABLICK TOILET
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PEVING BLOCK ZITAWEKWA AU RAFU YA ZEGE
HII NYUMBA NIMPYAAA AIJAKARIWA
UMEME UPO MAJI YANAFLWOR NDANI
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
KODI 300 X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
SIMU
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343