Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA KABISA HII UNAZINDUA MWENYEWE
KODI 500,000X6
ITAKUWA TIYALI KUINGIA KUANZIA 1/11/2025
KUONA NA KULIPIA LUKSA
LOCATION: KIMARA STOP OVER
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA SANA FULL MAKABATI
KWENYE MASTER KUNA AC
NA HEATER YA MAJI MOTO
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
ULINZI WA KUTOSHA
UMBALI KM 1.5
BODA BODA 1000
BARABARA SAFI KABISA
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0713661530_0783661530