Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA 400K
INA VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE NI MASTER SEBLE JIKO NA PUBLIC TOILET
MAJI NA UMEME VINAJITEGEMEA .
NYUMBA IKO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.8 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DAKIKA 2 UPO KWENYE NYUMBA .
HAINA FENSI ILA IPO MTAA WA KISHUA MAZINGIRA MAZURI USALAMA ASILIMIA MIA MOJA
KODI NI LAKI 4 KWA MWEZI MWEZI MIEZI 6
400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0742260844
0657384670