Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINAPANGISWA LOCATION KIMARA STOP OVER
‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐‐-------------------------------
SOMA KWA UMAKINI HAPO ZIPO APARTMENT MBILI TU KWENYE FENCE MOJA NA KIRA MOJA INAJITEGEA UMEME NA MAJI
======================
SIFA YA NYUMBA { 1 } NI
-------------------------------------------
Chumba master bedroom na sebule kubwa sana na jiko zuri BEI NI 250,000 X 6
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••
SIFA YA NYUMBA YA { 2 } NI
-‐------------------------------------------
Vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule jiko PABLICK BEI NI 300,000 X 6
---------------------------------------------
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
UKIPENDA NYUMBA NA KULIPA DALALI UTAMPA PESA DALALI YA MWEZI MMOJA
CALL
CALL
☆☆☆☆☆☆
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















