Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA UNAKATA UTEPE MWENYEWE
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA
#FENSI TIALE
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KWA MKUWA KLM 2.5 NJIA NI ZEGE MPAKA KWENYE NYUMBA UKANYAGI TOPE BAJAJI /500 DALADALA / 500 UKISHUKA DK 2 UPOGENITINI
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37