Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000 ร 6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ ๐ช๐๐ฆ๐๐ข wahi chap
APARTMENT NZURI SANA KUBWA INA PANGISHWA
KODI 300,000 ร 6
LOCATION: KIMARA MWISHO DAKIKA 10-15 KWA MIGUU
BODA 1000
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO LA MAKABATI YA JUU NA CHINI
NA PUBLIC TOILET
MAJI YANAFLOW NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PAVING BLOCKS
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
#NB:PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















