Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INA PANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 280,000 👈 KWAMWEZI MALIPO NIMIEZI x6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA HAKUNA MASTER ILA KUNA PUBLIC TOILET YA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
FULL ACE
HEATER YA MAJI MOTO NA BARIDI
FULU ESI VYUMBANI NASEBENI
IPO NDANI YA FENCE PAKING KUBWA SANA FULL PEVING BROCK
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 15 KWAMIGUU
AU BODABODA 1000👈
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG NI 15👈
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA ELFU 15
NDUGU MTEJA BEBA PESA KABISA PIA KUNA PESA YA TAHADHALI 15,000 ZINGATIA NDUGU MTEJA
0773700963
0753989554
=====