Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI ZINAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MWENDO KASI NI KM 1,2
BAJAJI 700
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
VYUMBA VIWILI VYAKULALA
SEBULE
JIKO NA
CHOO NI PABLIC
HAKUNA MASTER
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI. 275,000/=X6
DALALI. 275,000/
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
===#0625606710