Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 01/03/2025 MALIPO RUKSA 
#SEBULE KUBWA 
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#DAINING TABLE
#PUBLICK ๐ฝ TOILET ๐ช  
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA 
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA 
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 1 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA ZEGE USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI DALADALA/500 UKISHUKA TU DK 5 UPO KWENYE NYUMBA 
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA
0715949085
0782838336




















