Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA, SEBULE KUBWA SANA, PUBLIC TOILET NDANI, SEHEMU YA JIKO, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI#HAKUNA MASTER BEDROOM
*STAND ALONE, NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*KODI 220,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347