Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYAA KABISA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KODI 300,000X6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
UMBALI KM 1.8
BODA 1000
BAJAJI 700
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347