Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA ZA NYUMBA
__________________
hapa kuna nyumba mbili zote ni vyumba viwilli
RAKINI ZINATOFAUTIANA BEI
YA KWANZA
____________
ina vyumba viwilli vya kulala na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji haina master ina choo cha pabrck ya ndani
Ina sebule kubwa sanaa
Na vyumba vyake vikubwa
BEI LAKI MBILI NANUSU
(250,000)
X 4
YA PILI NAYO
______________
hivyo hivyo ina vyumba viwilli vya kulala haina master bedroom jiko ripo pempeni
Utofauti haina jiko ndani Inajitegemea umeme NA maji
BEI NI (200,000)
X 4
nyumba hizi zote hazipo kwenye fensi
Kwa maelezo zaidi Piga simu
_________
CALL 0652 508128
CALL 0753 989554