Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI UMBALI KWA MGUU DK 15
NYUMBA MPYA ZIPO KWENY FENSI PARKING YA KUTOSHA HAPA
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA
SEBULE (WASTANI)
JIKO KUBWA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER (WASTANI)
PUBLIC TOILET
UMEME WAKE
MAJI MITER YAKE
DSTV/AZAM BURE DISH
PEVING BLOCK
PARKING
MAFENI KILA KONA
BEI NI 300,000 ILPWE MIEZ SITA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
HAPA PAZURI SANA NYUMBA MPYA IMEPIGWA RANGI NJE NDAN KUDEKI NA KUINGIA
*NYUMBA INAKUWA WAZI TAREHE 03/11/2024
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI