Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6) KIMARA TEMBONI 1KM BODA ELF MOJA 
➖➖➖➖➖➖➖
APATIMENTI INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI 
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1
USAFILI NI  BAJAJI 700/
UKISHUKA TU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI 
====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI  SEBULE KUBWA SANA 
 DAINING  CHOO NI PABLIC HAKUNA MASTER 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA 
PAKING SPESI KUBWA SANA 
====
KODI 300,000/=X4
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
0716223412
0618976024




















