Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER KM1 KUTOKA LAMI
BADO FINISHING NDOGO NDOGO KUMALIZIWA KUINGIA TAR 1.12025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=Γ6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
----------
What saapp number 0689-547258