Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#LOCATION KIMARA SUKA DK 4 TU KUTOKA MAIN ROAD ๐ฃ๏ธ