Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INAUZWA
KIMARA TEMBONI - DAR ES SALAM.
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD.1KM
♻️Ina Vyumba Viwili vya Kula, Kimoja Master, Sebule, Jiko &Public Toilet
Mpangaji analipia, 300,000 kwa mwezi
♻️ Nyuma zipo chumba,sebule, Choo na Jiko la nje 2(mbili) zinazopangishwa kwa mwezi 180,000
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Eneo Limelasimishwa Tayari Hati Inatoka Kwa Jina La Mnunuzi)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 400
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Iko Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio
Bei : 80 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363