Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(350,000 × 5,6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI DK 12
Ipo ndani ya fence parking kubwa sana
-------
Boda boda 1000
Vyumba 2 kimoja master
Sebule kubwa sana
Jiko kubwa
Maji yana flow
Luku yako
Service charge ni shilingi 15,000
Kodi 350,000/= × 5,6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300



















