Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HII NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE BEI 300,000X6
INA VYUMBA 2 VA KULALA SEBULE JIKO
KIMOJA MASTER NA PUBLIC TOILET IPO YA NDANI
ZIPO APARTIMENT 4 KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
KUTOKA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA UMBALI KMI.5
SERVICE CHARGE 15000
0679447338
0753454167