Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
===
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK. 6 KWA MGUU
===
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI SEBULE KUBWA JIKO LENYE NAFASI
NA CHOO PABLIC HAKUNA MASTER
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
KODI 300,000/=X6
DALALI. 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
===
KUONA NYUMBA 20000/
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















