Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MPYA KABISA KIMARA MWISHO KM 1.5 KUTOKA LAMI
-----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa
------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
-------
Co
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏
Piga simu



















