Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE HAPA HAKUNA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA KABISA PARKING IPO
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA HAINA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA KUNA WALINZI HAPO
#LOCATION KIMARA BUCHA DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
####0655256419
####0760830706