Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE #BEI 500K
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
#.Simu 0757 404087