Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZIPO 3 KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IKOWAZI 
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI KUBWA
#PUBLICK TOILET 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA SUKA DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU MPAKA GETINI 
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 4,5,6
O677370515




















