Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


📣 Nyumba Ya bei Rahisi Sana... Inapangishwa KIMARA SUKA
📍 Kodi 180,000/= ×6
_
_________
• Vyumba 2 vya kulala (Haina Master)
• Sebule
• Public Toilet
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Maji yanatoka ndani
* Fensi
* Madirisha ya wavu mazuri
×Haina Parking
#Umbali wa Kutembea kwa miguu Dakika 8 tu
#Upande wa kulia Kama Unaenda Mbezi
_______
#Malipo ya Dalali Tsh 180,000/=
#Kupelekwa Kuona Tsh 15,000/=
______________
0753172516