Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🗯️ Inapangishwa KIMARA TEMBONI
📍 Kodi 250,000/= ×6
______
_
• Vyumba 2 Vya kulala (kimojawapo ni Master)
• Sebule
• Jiko
• Choo cha Public
* Umeme Luku Yake
* Maji meter yake na yanaflow ndani
* HAINA Fensi ila usalama uhakika
* Gari inafika had kwenye nyumba
#Umbali wa 1.5Km, usafiri wa bajaji upo nauli 500
_________
📌 *MUHIMU SANA*
#Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
#Kupelekwa kuona Tsh 15,000/=
_____________
№:- 0753172516