Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿HOUSE FOR RENT STAND ALONE
Inajitegemea Yenyewe Kwenye Fence
Location: KIMARA TEMBONI
Distance: KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD
DAKIKA 10 KWA KUTEMBEA Tu 🚶🚶
KODI 400,000 × 6
>SEBULE KUBWA
>VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
>CHUMBA KIMOJA MASTER
>JIKO KUBWA ZURI
>PUBLIC TOILET NZURI 🚻
>UMEME LUKU YAKO
>MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
>TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
>FENCED
>PARKING SPACE AVAILABLE
>GOOD ENVIRONMENT 👍
📌ENEO KUBWA UNAWEZA KULIMA/KUFUGA 🐓🐓
📌PEMBENI KUNA SERVANT CORTER INA MLINZI
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp