Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA KUBWA INA PANGISHWA
LOCATION:KIMARA STOP OVER
DAKIKA 10-15 KWA MGUU
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA HAKUNA MASTER
PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
250,000X6
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI